View Categories

Kipimo Kinachoonesha Kushuhudia na Kuhusishwa kwa Watoto Kwenye Ukatili Majumbani

Table of Contents

Tafiti na uzoefu vinaonesha kuwa ukatili dhidi ya watoto majumbani bado ni changamoto kubwa katika jamii zetu. Ili kupima kiwango cha ushuhudiaji na uhusishwaji wa watoto katika vitendo vya ukatili, tumeandaa “Kipimo Kinachoonesha Kushuhudia na Kuhusishwa kwa Watoto Kwenye Ukatili Majumbani” — nyenzo muhimu inayoweza kusaidia wadau wa ulinzi wa mtoto kutathmini hali halisi katika mazingira ya kifamilia.

Pakua (Download) nakala ya kipimo hiki kwa undani zaidi kupitia kiungo kilicho hapa chini:

Cite as: Minanago, C. A., Crutzen, R., van den Borne, H. W., & Kaaya, S. F. (2023). Translation and cross-cultural adaptation of the children’s exposure to domestic violence scale (CEDV) from English to Swahili. Children and Youth Services Review148, 106913. https://doi.org/10.1016/j.childyouth.2023.106913

Powered by BetterDocs

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *